2 Samuel 2:8-9

Vita Kati Ya Nyumba Ya Daudi Na Sauli

8 aWakati huo Abneri mwana wa Neri, jemadari wa jeshi la Sauli, alikuwa amemchukua Ish-Boshethi mwana wa Sauli na kumleta hadi Mahanaimu. 9 bAkamweka awe mfalme juu ya nchi ya Gileadi, Waasheri,
Waasheri hapa ni kabila moja la Israeli.
Yezreeli, Efraimu, Benyamini na Israeli yote.

Copyright information for SwhNEN